NIELEZE
nambie swahiba;nipate elewa
kuchomwa na mwiba;si hadi kulewa
kwa nini umevimba;mi sijaelewa.....
nieleze!!!
nambie swahiba;nipate elewa
kuchomwa na mwiba;si hadi kulewa
kwa nini umevimba;mi sijaelewa.....
nieleze!!!
nambie habiba;nijue kwa nini
kutwa umevimba;hatuelewani
na hali mkosa;ni wewe si mimi
nambie!!!
kutwa umevimba;hatuelewani
na hali mkosa;ni wewe si mimi
nambie!!!
kuwa na hiyana;si vema ujue
alo muungwana;hafichi mwenziie
alapo banana;humwita mwezie
nambie!!
alo muungwana;hafichi mwenziie
alapo banana;humwita mwezie
nambie!!
Comments
Post a Comment