NAKUPENDA EWE WANGU
1. Wewe ndie nyota yangu,usiku wamulikia.
Uniachi peke yangu,ukanacha ninalia.
Nikabaki peke yangu,mbali ukanikimbia.
Nakupenda ewe wangu,kwengine siwezi kwenda.
2. Wewe ndie mwezi wangu,usiku waangazia.
Ewe ndie taa yangu,mwanga wanimulikia.
Wewe ndie nuru yangu,wewe ndo langu pazia.
Nakupenda ewe wangu,kwengine siwezi kwenda.
3. Wewe ni asali wangu,nyuki sitowafukuza.
Kuvunja mzinga wangu,ni jambo nisiloweza.
Nikabaki peke yangu,ulimwengu kuniweza.
Nakupenda ewe wangu,kwengine siwezi kwenda.
4. Ewe ndio shuka langu,lanilinda kwa baridi.
Wewe ndie koti langu,daima sitokaidi.
Takulinda vazi langu,ili nije kufaidi.

limekaa poa haswa ukizingatia katika kudumisha upendo na mapenzi ya watu waliopendana
ReplyDeletenaipenda
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteImeweza,,ila buni hisia kuiongeza uzito
ReplyDeleteUmeweza mtunzi hapo lakini ongeze kwenye mnato wa hisia
ReplyDeleteI am grads to see it thank you
ReplyDeleteNice💖💖
ReplyDeleteMashaallaah lipo bomba sana nmelipenda
ReplyDeleteHowever, you should be aware that when you play gambling, you risk losing your money. Be prudent in your assessment of all potential dangers. Consider world777 gambling to be nothing more than a game. Don't get too worked up if you lose, because in an online gambling game, winning and losing can happen at any time.
ReplyDeleteFirst I appreciate your work very much. I read your post carefully and I must say that you are doing a great job by sharing your thoughts with us. Please check out does starbucks take ebt
ReplyDeleteA significant site you have got here... It's difficult to find excellent writing like yours these days. survival fund
ReplyDeleteFind Best Way How to Index backlink fast. For this Technique You will get Instant approval Result
ReplyDeletehttps://imageshack.com/user/mondalldesign
ReplyDelete